
Simba wakishikilia msimamo wao, Bodi ya Ligi itaweza kuwapoka alama 15?
Kanuni ya 31 ya Ligi Kuu msimu wa 2024/25 yenye vipengele saba na vidogo viwili, inasema: Timu yoyote itakayokosa kufika uwanjani bila sababu za msingi zinazokubalika na TFF/TPLB, na/au kusababisha mchezo usifanye itakabiliwa na adhabu zifuatazo: 1.1. Kutozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) ambapo milioni mbili na laki tano (2,500,000/=) itachukuliwa na Bodi ya…