
Hizi hapa Parokia 17 zilizomegwa Dar es Salaam kwenda Bagamoyo
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thadaeus Ruwa’ichi amezitaja Parokia zilizomegwa kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwenda Jimbo jipya la Bagamoyo. Parokia hizo ni, Bahari Beach, Boko, Bunju, Kinondo, Madale, Mbopo, Mbweni Mpiji, Mbweni Teta, Mbweni, Mivumoni, Muungano, Nyakasangwe, Tegeta Kibaoni, Tegeta, Ununio, Wazo na Mbweni…