
NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Yanga, Simba hadi Pan na Red Stars
NDIVYO ukweli ulivyo. Yanga ina kila sababu ya kujiita Baba Lao katika soka la Tanzania, kwani unaambiwa, licha ya kusumbuana kwa sasa na Simba katika ubingwa wa Ligi Kuu, lakini klabu hiyo ndio iliyosababishwa kuzaliwa kwa Wekundu wa Msimbazi baada ya kujitenga kutoka Yanga mwaka 1936. Kitu cha ajabu ni, Yanga ilikuwa na mgogoro mwingine…