
Simba rasmi yagomea Kariakoo Derby huku ikitaja kanuni
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga, Jumamosi, Machi 08, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam limechukua sura mpya kufuatia uongozi wa timu hiyo kuamua timu yao isicheze mechi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Machi 08, 2025 saa saba kasoro usiku, imefafanua kuwa uamuzi…