WIZARA YA FEDHA YAELIMISHA WANANCHI ARUSHA

Wizara ya Fedha imeungana na washiriki wengine katika kutoa elimu kwa umma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Arusha. Maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufikia kilele siku ya tarehe 8 Machi, 2025, Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maonesho hayo yana kauli mbiu ‘’Wanawake na wasichana 2025: Tuimarishe Haki,…

Read More

Vyama vyaeleza kuridhishwa na utulivu vituo vya uandikishaji

Unguja. Baadhi ya vyama vya siasa vimesema vinaridhishwa na shughuli ya uandikishaji wa daftari la mpigakura kutokana na utulivu unaoendelea tofauti na kipindi cha nyuma. Wakizungumza katika vituo vya uandikishaji Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi Machi 7, 2025, viongozi na mawakala wa vyama hivyo, wamesema uzoefu unaonyesha kipindi cha nyuma katika nyakati…

Read More

Dk Biteko akemea lugha za kumdhalilisha mwanamke

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekemea matumizi ya lugha za kumdhalilisha mwanamke kwa sababu ya jinsia yake, katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Ametoa rai hiyo akiwahamasisha wanawake kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi huo, badala ya kuwa wapigakura pekee. Dk Biteko…

Read More

THBUB YATOA MAPENDEKEZO 4 KWA SERIKALI NA WADAU KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8 2025.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa Tume hiyo inatambua jitihada za Serikali na Wadau katika kuhakikisha Wanawake wanapata Haki zao na Kuwezeshwa kisiasa,kiuchumi na kijamii ambapo pamoja na jitihada hizo bado zipo changamoto kwao ikiwemo ukatili wa kijinsia na ushiriki…

Read More

‘Tuma pesa kwa namba hii’ yawafikisha kortini 14

Dar es Salaam. Wakazi 14 wa Ifakara mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 52 yakiwamo ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha Sh2,721,401. Mashtaka mengine ni kuongeza genge la uhalifu na kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Ijumaa,…

Read More