Askofu ataja maajabu matano ya mwanamke

Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Gabriel Magwega amesema wanawake wote wamepewa maajabu matano ya kiutawala yatakayoinua familia na Taifa au kuangusha, ikiwa hayatatumika ipasavyo. Kiongozi huyo wa kiroho ameyataja mambo hayo kuwa mwanamke amepewa talanta ya ulinzi wa vitu mbalimbali ambavyo ni mume, familia na Taifa,…

Read More

MABINTI WA VYUO VIKUU WAMPA RAIS SAMIA MITANO TENA

Kongamano kubwa la ‘Binti wa Leo, Samia wa Kesho’ linatarajiwa kufanyika Jumamosi Machi 08, 2025, katika ukumbi wa Bwalo la Jeshi, Kona ya Nyegezi jijini Mwanza, likilenga kuhamasisha mabinti wa vyuo na vyuo vikuu kutimiza malengo yao kwa kutumia mifano ya mafanikio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kongamano hili ni sehemu ya maadhimisho ya…

Read More

WATUMISHI WANAWAKE WA TEA WAJITOA KWA JAMII

Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) @officiatea Leo tarehe 7 Machi 2025 wametembelea Kituo cha Kulea Watoto Miuji Nyumba ya Matumaini Jijini Dodoma kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani ambayo kilele chake huadhimishwa Machi 8 kila mwaka. Katika ziara hiyo, wametoa msaada wa bidhaa mbalimbali, ikiwemo chakula vikiwa…

Read More

Mbalizi kuwa jimbo jipya la uchaguzi, wadau wapongeza

Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili jina la jimbo la Mbeya vijijini katika uchaguzi mkuu ujao unaotarajia kufanyika Oktoba 2025. Akizungumza katika kikao cha madiwani kwa niaba ya mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Erica Yegella, Ofisa Utumishi wa Wilaya hiyo, Daudi Mbembela amesema wamepokea barua kutoka Tume Huru…

Read More

Hakuna Mtu Kupita Bila Kupingwa – Global Publishers

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimefanya mabadiliko katika mchakato wa upatikanaji wa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna kupita bila kupingwa kwani zitapigwa kura za ndio na hapana kwa wagombea katika mchakato huo. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla alieleza hayo leo Machi 7,2025 wakati…

Read More

Kilio cha X-Ray Mji wa Himo chamalizika, wananchi wasema…

Moshi. Wananchi wa mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali mrefu na kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya X-Ray sasa imemalizika baada ya Serikali kupeleka mashine hiyo. Mashine hiyo, yenye thamani ya zaidi ya Sh200 milioni, ilizinduliwa rasmi Machi 5, 2025 na inatarajiwa kurahisisha upatikanaji wa huduma za X-ray kwa…

Read More

REA YAENDELEA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA VITENDO

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea na jitihada mbalimbali za uelimishaji, uhamasishaji na usambazaji wa bidhaa za Nishati Safi za Kupikia katika Mikoa yote Tanzania Bara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha 80% ya Wananchi wanatumia Nishati Safi za Kupikia ifikapo Mwaka 2034. Hayo yameelezwa Machi 7, 2025 Jijini Arusha na Kaimu…

Read More