
Vita ya Hamdi, Fadlu hapatoshi
KILA mtu anazungumza tukio moja tu kuhusu mechi kubwa Afrika Mashariki na Kati linalohusisha mechi ya Yanga na Simba. Huo utakuwa mchezo wa mwisho baina ya timu hizo kwenye ligi msimu huu ambapo mzunguko wa kwanza Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0. Hata hivyo, kwenye mechi hiyo kocha wa Simba, Fadlu Davids ataingia kwenye…