
Tanzania Yashiriki Mkutano wa Dunia wa Masuala ya Mawasiliano ya Simu nchini Hispania
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya Mawasiliano ya Simu (Mobile World Congress 2025) unaofanyika kuanzia tarehe 03 – 05 Machi, 2025 katika mji wa Barcelona, Hispania. Katika mkutano huo Waziri Silaa amepata nafasi ya kushiriki katika mijadala kwenye masuala ya Ujumuishaji…