
Serikali yaanza kampeni elimu kujikinga na ugonjwa wa Mpox
Rukwa/Dar. Katika kuhakikisha Jamii inakua salama dhidi ya magonjwa ya mlipuko, Wizara ya Afya imeanza kutoa elimu katika maeneo mbalimbali ya umma na vyombo vya habari kupitia waganga wakuu wa mikoa na wataalamu wa afya. Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku 14 tangu Serikali ilipotangaza kuwa watu wawili wana maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa…