
KOREA KUSINI YAUNGA MKONO MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Mkakati wa Nishati Safi ya kupikia chini ya uasisi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan umeendelea kupigiwa chapuo ambapo Korea Kusini imesema iko tayari kuunga mkono jitihada hizo. Hayo yamebainika leo Machi 7, 2025 katika mazungumzo ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt….