
Loyce afichua siri sanaa ya kucheza na nyoka
Mwanza. Katika safari ya maisha, kila mtu hukutana na changamoto zinazohitaji ujasiri wa hali ya juu kuzimudu. Kwa wengi, kushika nyoka si jambo la kawaida, lakini kwa baadhi ni sehemu ya kazi na maisha yao ya kila siku. “Mara ya kwanza niliposhika nyoka, kwa kweli nilikuwa naogopa sana,” anasema Loyce Ngoleigembe, akieleza jinsi alivyojifunza kukabiliana…