Shinikizo la damu kwa wagonjwa wa kisukari

Shinikizo la damu ni tatizo la kiafya linalojitokeza wakati presha ya damu katika mishipa inakuwa juu kupita kiasi. Kwa wagonjwa wa kisukari, hatari ya kupata shinikizo la damu, inaweza kuongeza uwezekano wa matatizo makubwa ya kiafya kama magonjwa ya moyo, kiharusi na matatizo ya figo. Shinikizo la damu ni hali ambapo presha ya damu inazidi…

Read More

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi – Global Publishers

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya wapenzi.  Mahusiano ya mapenzi yenye kudumu ni sharti yapandwe katika udongo wenye rutuba kama ulivyo mmea,yatahitaji maji ya kumwagilia na mbolea ya kukuzia. Na zaidi ya yote yanahitaji muda wa kukua kabla matunda kuonekana. UAMINIFU Kumwamini…

Read More

MAMIA KUSHIRIKI KONGAMANO LA WADAU WA MICHEZO WANAWAKE JIJINI ARUSHA

Na Seif Mangwangi,Arusha KUELEKEA maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Machi 8,2025 wadau wa michezo nchini zaidi ya 150 wanatarajiwa kushiriki kwenye kongamano la Wanawake lililoandaliwa na waandaaji wa tamasha la Tanzanite Samia women’s sports. Kongamano hilo ambalo limeandaliwa kwa ushirikiano na Baraza la Michezo la Taifa nchini, (BMT) lina lengo la kuhamasisha ushiriki wa…

Read More

Dabi imewakalia kushoto | Mwanaspoti

KATI ya mambo ambayo wachezaji wa Simba na Yanga wanapenda kuyafanya katika maisha yao ya soka ni kucheza mechi za ushindani hasa Kariakoo Dabi. Mechi hizo zina heshima yake kama ukifanikiwa kufanya vizuri, lakini ikiwa tofauti inaweza kukuharibia. Kuna mifano ya wachezaji wengi ambao kupitia Kariakoo Dabi maisha yao ya soka yalipaa kwa kasi, huku…

Read More

KWAYA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA WAPANGA KUKUSANYA MILIONI 50 KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA

Na Vero, Ignatus Arusha KWAYA ya Mtakarifu Rita wa Kashia katika Parokia ya Mtakarifu Yuda Tadei jijini Arusha imesema inahitaji kupata Sh.milioni 50 kwa ajili ya kununua vifaa vitakavyosaidia katika kuhubiri na kurahisisha huduma ya Uinjilisti. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo maalum wa Tawala Bwana,Prof. Joseph Ndunguru ambaye ni Mlezi wa kwaya hiyo amesema…

Read More