
Kipa Yanga, Simba auwawa akidhaniwa mhalifu
WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani wa timu hizo mbili. Huyu ni Mabruki Doyi Moke, kipa wa zamani wa Simba na Yanga aliyeishi kwenye mitaa ya Kariakoo kuanzia 1999…