
MAKALA: SALMA KIKWETE- SIKUPATA KURA ZA ITIFAKI, NILIPAMBANA BILA KUTISHIKA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 6, 2025 ALIKUWA Mwalimu na Mke wa Rais, lakini safari yake haikukamilika kwa kuwa mke wa Rais. Leo ni Mbunge wa Jimbo la Mchinga,mkoani Lindi akiongoza kwa mfano na dhamira ya dhati. Mama huyo, pia ni mwanasiasa ambaye ni mke wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Rais wa awamu ya nne…