TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI

▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa Vijana na wakina mama waungwa mkono 𝐓𝐨𝐫𝐨𝐧𝐭𝐨,𝐂𝐚𝐧𝐚𝐝𝐚 Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mh. Ahmed Hussein na Waziri wa Madini wa Tanzania Mh. Anthony Mavunde…

Read More

Zingatia haya ili kukuza biashara yako

Biashara ndogo ndogo ni mhimili wa kiuchumi kwa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania. Inakadiriwa kuwa karibu ya robo tatu duniani wanategemea ama kuajiriwa na biashara ndogondogo. Kwa biashara ndogo kabisa zinazoajiri mtu mmoja ama wawili changamoto kubwa sana ipo kwenye usimamizi wa fedha. Sababu kubwa ni kutokuwa na mpangilio wa kifedha, na mfanyabiashara kutokutambua kuwa…

Read More

UJENZI BARABARA YA AMANIMAKOLO-RUANDA KWA KIWANGO CHA LAMI WAENDELEA,TANROADS YAWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU UBORA WA BARABARA

Na Mwandishi Maalum,Mbinga WAKALA wa Barabara Tanzania(TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umeanza ujenzi wa awamu ya pili ya sehemu ya barabara ya Amanimakolo-Ruanda hadi Bandari ya Ndumbi yenye urefu wa kilometa 95 kwa kiwango cha lami. Meneja wa TANROADS Mkaoni Ruvuma Saleh Juma amesema,ujenzi wa barabara hiyo unafanyika kwa awamu tatu,awamu ya kwanza imehusisha kipande cha barabara kutoka…

Read More

Shamba la mikarafuu lateketea kwa moto Pemba

Pemba. Shamba la mikarafuu kisiwani Pemba limeteketea kwa moto chanzo kikitajwa ni tanuri lililotumika kuchoma mkaa kwenye shamba hilo. Tukio hilo limetokea Machi 3, 2025  katika kijiji cha Chanoni Shehia ya Kilindi Wilaya ya Chakechake ambapo mikarafuu  zaidi ya 50 inadaiwa kuteketea kwenye eneo la zaidi ya robo ekari. Kwa mujibu wa taarifa mkarafuu mmoja…

Read More

WAHASIBU WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

FARIDA MANGUBE, MOROGORO Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, amewataka wahasibu nchini kuwa na uadilifu wakati wa kutekeleza majukumu yao, bila ya kufanya upendeleo wa aina yoyote. Dkt. Mussa ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua Kikao cha Pili cha Baraza la Tano la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kilichofanyika mjini…

Read More