
Zanzibar kuwakutanisha wataalamu wa AI Afrika
Unguja. Kwa mara ya kwanza, Zanzibar inatarajia kuwakutanisha wataalamu wa teknolojia na akili mnemba (AI) 1,500 kutoka nchi mbalimbali za Afrika kubadilishana uwezo na kuongeza ujuzi katika kukuza biashara. Katika mkutano huo wa Tech and AI Internationa Expo 2025, utawaleta pamoja viongozi wa tasnia, wawekezaji, watunga sera na washiriki wa teknolojia kuchunguza maendeleo ya hivi…