
MOI Yasisitiza Umuhimu wa Mafunzo ya Usalama Barabarani Kufuatia Ongezeko la Ajali za Pikipiki
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa kwamba wananchi wengi wanaoenda kupata Matibabu ya Afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya fahamu (MOI) ni magonjwa yanayosababishwa na ajali za barabarani hasa kwa vijana katika matumizi ya vyombo vya moto. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba…