
Trump amteua mtoto kuwa ofisa usalama wa taifa, ataja sababu
Washington. Rais Donald Trump amelishangaza Bunge la Marekani baada ya kutangaza kuwa amemteua mtoto, Devarjaye Daniel “DJ Daniel” (13) kuwa Ofisa wa hiari wa Idara ya Usalama wa Taifa (Secret Service) nchini humo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la WION, Trump amechukua uamuzi wa kumteua mtoto huyo kutokana na matamanio yake ya kulitumia jeshi…