
Wadau wataka ukomo viti maalumu, mchakato ndani ya vyama wakosolewa
Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya siasa nchini wamependekeza uwepo ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu, wakieleza baadhi yao wamehodhi nafasi hizo wakizitumikia kwa hadi miaka 25. Pia imeelezwa ni muhimu kuwapo utashi wa vyama vya siasa kuwawezesha wanawake kugombea kwenye majimbo, huku mchakato wa kuwapata viongozi hao usitokane na vyama. Wameeleza…