
Simba Mafinga wakataa uteja wa Dabi, wawataja Mpanzu na Ateba
UONGOZI mpya wa Simba, tawi la Mafinga mkoani Iringa umesema kazi ya kwanza katika majukumu yao ni kuondoa uteja pale watakapokutana na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Jumamosi, wiki hii. Simba inatarajia kukutana na Yanga katika mchezo unaopigwa Machi 8 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, huku rekodi zikiwabeba watani wao…