
20 Wakamatwa Kwa Kula Mchana Mwezi Wa Ramadhan – Global Publishers
Jeshi la Polisi wa Kiislamu (Hisbah) katika Jimbo la Kaskazini Nigeria la Kano, wamewakamata waumini wa dini ya Kiislamu waliokutwa wakila hadharani mchana pamoja na wale waliokuwa wakiwauzia chakula katika siku za mwanzo za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Naibu Kamanda wa Hisbah, Mujahid Aminudeen ameliambia Shirika la Habari la BBC kwamba watu…