
TET YAWAHIMIZA WAZAZI WENYE WATOTO SHULENI KUNUNUA VITABU VYA MITAALA MIPYA
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini Arusha na Mkuza Mtaala wa TET ,Bi. Zena Amiri wakati akiongea na…