
Watano wafariki ajali ya basi la AN Classic
Dodoma. Watu watano wamefariki dunia na wengine 49 kujeruhiwa baada ya basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Kigoma la AN Classic kuligonga lori kwa nyuma na kuanguka katika eneo la Chigongwe jijini Dodoma. Akizungumza leo Machi 4,2025 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Anania Amo amesema kuwa …