
Waziri Mkuu asisitiza kutumia wazawa kubuni suluhu za kidijitali
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kutumia vijana wa Kitanzania kubuni na kutengeneza mifumo ya fedha ya kidijitali kunahakikisha upatikanaji wa bidhaa na huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji halisi ya Mtanzania wa kawaida. Majaliwa amesema hayo leo Jumatatu, Machi 3, 2025, wakati wa uzinduzi wa huduma za benki ya NBC kidijitali, ambapo amesisitiza…