ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA TAIFA GAS NA BARRICK YAENDELEA KUWAFIKIA WANANCHI

Mkufunzi kutoka kampuni ya Taifa Gas,Praygod Ole Naiko akionesha kwa vitendo matumizi ya jiko la gesi kwa washiriki wa mafunzoMmoja wa washiriki akionesha matumizi ya jiko la gesi kwa vitendo baada ya kuhitimu mafunzoMwakilishi wa Barrick, Mary Lupamba akiongea na washiriki wakati wa mafunzo hayoWashiriki wa mafunzo wakiimba kwa furaha wakati wa mafunzoBaadhi ya washiriki…

Read More

Kibu, Hamza kuna siri nzito Simba

SIMBA imerejea kambini jana tayari kwa maandalizi ya mchezo ujao wa Dabi ya Kariakoo, huku kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Kibu Denis akifichua beki Abdulrazack  Hamza, amekuwa kipimo kizuri mazoezini kwa namna anavyomkaba na imemrahisishia kazi katika mechi za mashindano, anapokutana na mabeki wa aina yake. Kibu alisema aina ya ukabaji wa Hamza sio rahisi…

Read More

UNDP na CRDB kuwaonyesha njia wajasiriamali wa Tanzania katika soko la Afrika

Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation wamezindua mwongozo rahisi kwa wajasiriamali wachanga, wadogo na wa kati (MSMEs), ukiwalenga kuongeza ushiriki wao katika Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Mpango huo unalenga kuwawezesha MSMEs kwa kuwapatia nyenzo muhimu na maarifa yatakayowasaidia kupanua biashara zao…

Read More

WANAFUNZI TPC WADANDIA “KIBERENGE “CHA MIWA KURUDI MAKWAO ,ABC IMPACT WATOA BAISKELI

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya TPC wakionesha furaha yao wakati wakiendesha baiskeli zilizotolewana taasisi ya ABC Impact kama sehemu ya msaada ukilenga kuondoa changamoto ya usafiri kwa wanafunzi wanaoishimaeneo ya mbali na shule . Wanafunzi wa kike ndio wamekuwa walengwa wakubwa wa msaada wa Baiskeli uliotolewa na taasisi ya ABC katika kuwapunguzia changamoto yakutembea…

Read More

Ajali Yaua Watu 6 Dodoma – Global Publishers

Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 wamejeruhiwa baada ya ajali kutokea eneo la Chigongwe, Dodoma, usiku wa Machi 3, 2025. Ajali hiyo ilihusisha basi la AN Classic lenye namba za usajili T405 BYS, lililokuwa likielekea Kigoma, na lori lililoharibika barabarani bila alama za tahadhari. Mashuhuda wamesema mwendokasi wa basi huenda ulichangia…

Read More

Dk Biteko: Rais Samia kawapaisha wanawake sekta ya madini

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kufungua fursa za kuwawezesha wananchi kiuchumi ikiwa ni pamoja na kutilia mkazo ushirikishaji wa wanawake katika uchimbaji wa madini wenye tija. Dk Biteko amesema  hayo jijini Dar es Salaam juzi aliposhiriki kongamano maalumu kuelekea maadhimisho Siku…

Read More

Ikanga Speed aiomba Dabi ya Kariakoo

YANGA imerudi kazini kuanza maandalizi ya kwenda kupambana na watani wao Simba waliorejea jijini Dar es Salaam juzi ikitokea Arusha, ilipoenda kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, lakini kocha wa vinara hao, Miloud Hamdi akashtua kuwa zile dakika 21 alizompa winga mpya, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’, jamaa kama kanogewa. Lakini kama…

Read More