Majaliwa afichua siri Tanzania kupiga hatua kimaendeleo, amani

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushiriki wa viongozi wa dini katika mipango ya maendeleo ya jamii unasaidia kwa kiasi kikubwa kusonga mbele. Alisema mahubiri wanayotoa yanayokanya na kukemea maovu yanasaidia kuleta mahusiano mazuri na kuhamasisha uwepo wa amani katika jamii. Wananchi wakiwa katika maombi ya kitaifa viwanja wa Leaders, Dar es Salaam….

Read More

SHULE YA MSINGI MKANGE YAKABILIWA NA UCHAKAVU WA MIUNDOMBINU NA UPUNGUFU WA MADAWATI

Na Mwamvua Mwinyi, Mkange-Chalinze  Feb 28,2025 Shule ya Msingi Mkange, iliyopo Chalinze, mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto kubwa ya uchakavu wa miundombinu, ambapo vyumba vya madarasa vitatu vimechakaa na madarasa mawili hayatumiki ili kuepuka hatari kwa wanafunzi. Hali hii ilibainika wakati wa ziara ya maofisa kutoka Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya MAMA SAMIA,Chalinze na…

Read More

Oryx Gas Yaleta Tija Katika Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia, Rais Samia Apongeza

Na Mwandishi Wetu,Muheza RAIS Dkt..Samia Suluhu Hassan amekutana na Oryx Gas pamoja na wadau wengine ambapo wamemuhakikishia wataendelea kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kupeleka mitungi ya gesi vijijini ili kuwezesha wananchi kuipata kwa urahisi. Ametoa kauli hiyo alipotembelea banda la Oryx Gas wakati wa uzinduzi wa kampeni ya matumizi…

Read More

Juma Kaseja aachiwa msala Kagera

KIPA wa kimataifa wa Tanzania anayewanoa makipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amekabidhiwa mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Melis Medo ambaye ametimkia Singida Black Stars. Februari 25, Kagera Sugar iliachana na Medo baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na sasa wapo katika hatua za mwisho kumalizana na Kaseja, ili aweze kuisaidia…

Read More

Vita Shirikisho yaanza upyaa | Mwanaspoti

SIMBA na Coastal Union zinafunga hesabu za Ligi Kuu kwa raundi ya 22 kabla ya mambo kuhamia katika Kombe la Shirikisho na hatua ya 32 itaanza kupigwa kesho Jumapili ikihusisha michezo tisa itakayojumuisha timu za Ligi Kuu, Ligi ya Championship, First League na RCL. Mechi hizo ni za kusaka timu 16 zitakazochuana hatua ya 16…

Read More

Kisa Dabi… Mabosi Simba wafanya kitu kwa Che Malone

SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho jioni kuikabili Coastal Union, lakini akili za benchi la ufundi na mabosi wa klabu hiyo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini kuna mshtuko walioupata kupitia beki wa kati tegemeo, Fondo Che Malone. Beki huyo raia wa Cameroon, amekuwa ndiye mhimili wa…

Read More

Wadau wataka watoto wa kike wasitengwe mpira wa miguu

Baadhi ya wadau wa mpira wa miguu mkoani Lindi, wamewataka wazazi wawape fursa watoto wa kike  kushiriki michezo hasa mpira wa miguu. Wadau wa michezo mkoa wa Lindi wameyasema  hayo leo kwenye kikao cha Samia Brazuka Cup kilichoshirikisha viongozi wa michezo wa ngazi za wilaya na mkoa kilichoandaliwa na Brazuka Football Club. Mashindano hayo ya…

Read More