NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU TANGA

Mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Sawa Ngendabanka akitoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Galanos pamoja na kuwahamasisha wanafunzi hao kujiunga na masomo ya Uhasibu watakapomaliza masomo yao ya kidato cha sita. Afisa Masoko na Mawasiliano Mwandamizi wa NBAA, Magreth Kageya akitoa elimu kuhusu kazi…

Read More

Watu 1,500 hufariki kila mwezi kwa kifua kikuu Tanzania

Dar es Salaam. Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 56,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa na punguzo la asilimia 68. Katika mgawanyo kitakwimu, ugonjwa wa kifua kikuu huua watu 1,500 kila mwezi nchini Tanzania,  kutoka watu 4,332 mwaka 2015. Kiwango hicho kimesababisha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi…

Read More

NBAA YATUA TANGA – MICHUZI BLOG

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) imeendelea kutoa elimu na kujenga ufahamu juu ya Taaaluma ya Uhasibu kwa wanafunzi wa vyuo na shule mbalimbali za sekondari nchini. Kwa kipindi hiki NBAA imetembelea mkoani Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu wanafunzi kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi hiyo. Akizungumza wakati wa kutoa…

Read More

Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma

    Na mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Timu ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa rasilimali za serikali. Bw. Joseph Mwaisemba, Mkurugenzi…

Read More