
VIWAVIJESHI VAMIZI WAACHA KILIO KWA WAKULIMA WA MAHINDI MVOMERO
Na: Calvin Gwabara – Mvomero Wakulima wa mahindi Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro wameiomba Serikali kupitia watafiti wake kutafuta suluhisho la kudumu la namna ya kuwakabili viwavi jeshi vamizi ambao wanaharibu zao la mahindi na kuziacha familia nyingi na njaa na umasikini mkubwa. Mkulima wa mahindi kutoka kata ya Wami Dakawa wilayani Mvomero Mkoani…