
Offen Chikola kurudi kivingine | Mwanaspoti
KIUNGO mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola amesema mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha mechi za Kalenda ya FIFA yamemsaidia kuondoa uchovu mwilini uliotokana na kucheza mechi mfululizo. Chikola ambaye ana mabao saba na asisti mbili katika Ligi Kuu Bara msimu huu, alisema watakaporejea kuendelea na ligi tayari mwili wake upo fiti na ana hamu…