Maonyesho ya Diaspora ya Kiafrika yanaonyesha mshikamano wa mabadiliko na urithi wa utumwa – maswala ya ulimwengu

na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumatano, Machi 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mbele ya Siku ya Kimataifa ya Ukumbusho wa Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Watumwa wa Transatlantic Mnamo Machi 24, Umoja wa Mataifa (UN) ulifunua maonyesho mapya yakichunguza mada za usawa na mshikamano katika muktadha wa diaspora ya Kiafrika. Hadithi…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Lissu, Slaa wanavyoigeuza Chadema chama cha ‘wash and wear’

Nayaweka mawazoni maneno ya mwanasiasa wa New Zealand, Michael Laws kuwa “hakuna kitu kinaweza kukupa kichwa kikubwa cha habari kama kukishambulia chama chako cha siasa.” Naukumbuka mkutano wa Dk Willibrod Slaa na waandishi wa habari, Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, Agosti 2015. Kamera zilikuwa nyingi. Kuna televisheni ziliurusha mkutano huo moja kwa moja, kinyume…

Read More

GF AUTOMOBILE LTD YASAINI MAKUBALIANO YA KIMKAKATI NA BARAZA LA TAIFA LA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI (NaCoNGO)

Kampuni ya GF Trucks kupitia kampuni ya GF Automobile imeingia makubaliano na  Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali  nchini NaCoNGO   ( The National Council of NGOs)  akizungumza wakati wa kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni hiyo ,Mujtaba  Karmali alisema katika makubaliano hayo yamelenga kunufaisha pande zote mbili Wao kama wauzaji wa…

Read More

TPHPA yaahidi kufuatilia changamoto ya Nzi weupe Nyandira Wilayani Mvomero zilizotolewa na wakulima kupitia mradi AGRISPARK – SUA

    Na: Calvin Gwabara – Mvomero. Kufuatia taarifa za athari kubwa za Nzi Weupe kwenye mazao ya mbogambona Wilayani Mvomero zilizoibuliwa na wakulima wakati wa utekelezaji wa mradi wa AGRISPARK Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania (TPHPA), Prof. Joseph Ndunguru ameahidi kutuma timu ya wataalamu kwenye wilaya hiyo kuona…

Read More

Joto la uchaguzi linavyotikisa ubunge Mbeya, Songwe

Joto la kusaka ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kwenye majimbo yaliyopo Mbeya na Songwe limezidi kupanda, baada ya baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutajwa kuwania nafasi hizo, jambo linalowaweka matumbo joto wabunge wanaohitaji kutetea nafasi zao. Katika Mkoa wa Songwe wenye majimbo sita ya uchaguzi, majimbo ya Tunduma na Mbozi yamebainika kuwa…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Tuipeleke Tanzania duniani

Kwanza nikupe kongole kwa jitihada za kimkakati za kumtua mama ndoo kichwani. Jitihada hizi zinaweza kuzaa matunda mapema kama zitaunganishwa na zile za kumkwamua mama kiuchumi. Uchumi wa mama ukirekebika, atapiga ndege wengi kwa jiwe moja. Kwanza atatua ndoo, kisha ataachana na nishati chafu za kupikia. Kwa kitendo hicho mama atakuwa salama usalmini mwenye afya…

Read More

Miaka 4 ya Samia madarakani, ‘umekula ng’ombe mzima, usishindwe kumalizia mkia’

Leo naungana na Watanzania wenzangu kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani. Kwa mtazamo wangu, hakuna shaka kwamba Rais Samia amefanya mambo makubwa na mazuri katika nyanja za siasa, uchumi na jamii. Hasa katika mabadiliko ya kisiasa, ameleta mageuzi makubwa na ya kupongezwa. Ikiwa tungefananisha mafanikio yake na kula ng’ombe mzima, basi…

Read More