BODI YA EWURA YATEMBELEA BOMBA LA MAFUTA TAZAMA

  Ndola, Zambia: Mwenyekiti wa Bodi ya ya Wakurugenzi ya EWURA, Prof. Mark Mwandosya leo 23 Machi 2025, ameongoza wajumbe wa Bodi hiyo na Menejimenti kwenye ziara ya kutembelea Bomba la Mafuta la TAZAMA linaloanzia Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Ziara hiyo ilianza Machi 21, 2025. Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati ya Bodi…

Read More

Lissu: Tutaiondoa CCM madarakani kwa uchaguzi huru siyo silaha

Mbeya. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema namna bora ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani ni kutumia utaratibu wa uchaguzi huru, haki na siyo kutumia silaha. Pia, kimesema bila kudai mabadiliko katika uchaguzi haitawezekana kuking’oa CCM madarakani kutokana na mazingira yalivyo kwa sasa kikiwaomba wananchi kuamua. Akizungumza leo Machi 23, 2025 kwenye mkutano…

Read More

Mfumo wa ‘Force Acount’ waipa matokeo chanya IAA

Dar es Salaam. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema imeridhishwa na ufanisi na ubora wa majengo yanayoendelea kujengwa ndani ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kupitia mapato ya ndani kwa kutumia wataalamu wa ndani yaani mfumo wa ‘Force Account’ Hayo yamebainishwa katika ziara ya kikazi ya kamati hiyo, baada ya…

Read More