
Dk Slaa arejea akiomba radhi Chadema
Dar es Salaam. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amewaomba radhi wanachama wa chama hicho huku akishukuru kurejeshewa uanachama kuendeleza harakati za kudai mabadiliko. Dk Slaa ametoa kauli hiyo leo Machi 23, 2025 kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya ‘No reforms, no election’ unaofanyika Viwanja vya Ruanda…