
WAZIRI RIDHIWANI AHIMIZA WANAGENZI KUZINGATIA UJUZI WANAOPATIWA VYUONI
Na, Mwandishi Wetu – SINGIDA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewasihi vijana wanufaika wa mafunzo ya ufundi stadi kuzingatia ujuzi wanaopatiwa vyuoni ili waweze kuweza kujiajiri ama kuanzisha shughuli ambazo zitawaingizia kipato. Aidha, amewataka vijana hao kuhakikisha wanafanya vizuri katika mafunzo hayo yanatolewa kwa…