
Shule ya Sekondari Green Acres kutumia nishati mbadala
Na mwadishi Wetu. Katika jitihada za kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya Sita Dk.Samia Suluhu Hassan za kuhifadhi mazingira Shule ya Green Acres ya Mbezi Beach Dare s Salaam sasa inajipanga kutumia nishati mbadala katika matumizi ya kupikia shuleni hapo. Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Jonathan Kasabila alisema kuwa shule hiyo ilifanya upembuzi…