
Wadau wahoji ziara ya vigogo Chadema kwa Odinga
Dar es Salaam. Chadema kugeukia heandshake? ndilo swali linaloumiza vichwa vya baadhi ya wadau wa siasa, baada ya viongozi wa chama hicho kukutana na waziri mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga anayetambulika kwa historia yake ya siasa za maridhiano. Jana Jumamosi Machi 22, 2025 Odinga alikutana na viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na Tundu…