
Huu hapa mwarobaini wa talaka za uzeeni
Dar es Salaam. Ndoa ni muungano wa maisha kati ya wanandoa unaotarajiwa kudumu kwa muda mrefu maishani. Ni muungano ambao kimsingi hupaswa kukoma pale mmoja anapofikwa na umauti, Ndio sababu watu wanapofunga ndoa hula kiapo cha kukubali kuishi kwa mazuri na mabaya hadi kifo kiwatenganishe. Hata hivyo, hali haiko hivyo, ongezeko la talaka nchini linatisha. Takwimu…