
MKUU WA WILAYA YA SONGEA ALIA NA MIGOGORO WALIMU,AMTAKA MSAJILI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUTOSAJILI VYAMA VIWILI TAASISI MOJA
Na Muhidin Amri,Songea MKUU wa Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Kapenjama Ndile,ametoa Ushauri kwa Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi Nchini, kutafakari upya kuhusu kuwepo kwa Chama zaidi ya kimoja cha wafanyakazi wa kada moja ili kuondoa migogoro na migongano inayochangia kushuka kwa nidhamu sehemu ya kazi.Ndile amesema hayo jana,wakati akizungumza na walimu kwenye Mkutano wa…