
Israeli yaua Wapalestina 34 akiwamo ofisa mwandamizi wa Hamas, mkewe
Gaza. Ofisa mwandamizi wa Hamas na mbunge wa Palestina, Salah al-Bardawil (66), mkewe na Wapalestina 32 wengine, wameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) katika mji wa Khan Younis, magharibi mwa ukanda wa Gaza. Taarifa iliyotolewa na Hamas kupitia Al Jazeera imeripoti kuwa Salah al-Bardawil na mkewe wameuawa alfajiri…