
Ramadhan Charity yatowa Iftar kwenye Tasisi za kidini Mkoani Singida
Mwenyekiti wa Taasisi ya Ramadhan Charity Program 2025 Ahmed Misanga Amesema huu ni mwaka wa 8 wakitoa Sadaka ya Iftar kwa makundi mbalimbali hasa watu wenye uitaji. Kauli hiyo ameitoa wakati wa kukabidhi swadaka ya Iftar kwenye Tasisi za kidini hapa Manispaa ya Singida, kuwa kutoa ni moyo hakuhitaji uwe na mali nyingi,…