
Shule ya Brookside yamuunga mkono Rais Samia
Na Mwandishi Wetu. Katika jitihada za kumuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya Sita Dk.Samia Suluhu Hassan za kuwawezesha kielimu watoto wa kike, shule ya Msingi ya Brookside iliyopo Kata ya Kimara ,Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam ina mpango wa kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni Bagamoyo mkoa Pwani. Shule…