
Stars yapewa refa ‘nuksi’ Morocco
REFA asiye na historia nzuri na timu za Tanzania, Alhadi Allaou Mahamat kutoka Chad, ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya ugenini ya Taifa Stars’ dhidi ya Morocco, Jumatano Machi 26, 2025 ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026. Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Manispaa, mjini Oujda, kuanzia saa 6:30 usiku kwa muda wa…