MAMA SAMIA SUPER WOMEN , MAMA SAMIA MITANO TENA

Chini ya uongozi wa Rais Samia tumeshuhudia polisi wakiwasindikiza waandamanaji kwa urafiki mkubwa.Yaani watu wanaandamana halafu Polisi wamewaacha wafanye wanavyotoka. Ndio, Ni kipindi ambacho hata waliokuwa wanaandamana walipoishiwa nguvu polisi waliwasaidia .Hiyo tumeshuhudia kwa Rais Samia tu katika uongozi wake. Awamu ya Tano wapinzani hawakuwa na ujanja walikuwa kimya,hakuna mkutano wala maandamano.Hawakuthubutu na wengine walikimbia…

Read More

TETE FOUNDATION YAGAWA MAHITAJI /VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI WALIOPO KATA YA MIONO,CHALINZE -PWANI KWA MWAKA 2025

TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule (Sare za shule, madaftari, Begi, viatu n.k)…… Mradi huu wa “Tunaamini katika wewe” unao dhaminiwa na…

Read More

Vita ya kuisaka Ligi Kuu Bara inaendelea

BAADA ya jana kupigwa mchezo mmoja kati ya Transit Camp dhidi ya Mbeya City, raundi ya 24, Ligi ya Championship inaendelea tena leo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti, huku ikihitimishwa kesho Jumapili kwa mechi nyingine tatu. Kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara, Polisi Tanzania iliyotoka sare ya bao 1-1 na Bigman FC, itaikaribisha Mbeya…

Read More

Tabora yaachana na Kocha Mkongomani, yamchukua Mzimbabwe

UONGOZI wa Tabora United, umefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Anicet Kiazayidi huku nafasi yake ikichukuliwa na Mzimbabwe, Genesis Mangombe. Haijafahamika sababu za kuvunjwa kwa mkataba wa kocha huyo raia wa DR Congo ambaye hivi karibuni alirejea nchini kwao kwa ajili ya kufanya kozi ya refresh. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani…

Read More