
Katika kuadhimisha siku ya wanawake Tamwa Z’bar Yazindua Ripoti Nafasi Za Wanawake Kwenye Michezo
Na Nihifadhi Abdulla Zanzibar. CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA ZNZ) kimeadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kuzindua ripoti maalum inayoangazia nafasi za wanawake katika uongozi wa michezo. Ripoti hiyo, iliyozinduliwa katika ofisi za TAMWA Z huko Tunguu, Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), imebeba kauli mbiu “Ushiriki wa…