TRA Yatangaza Majina ya Waliokidhi Vigezo kwa Usaili wa Ajira

MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetangaza majina 112,952 ya waliokidhi vigezo vilivyowekwa na hivyo kuitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika huku idadi ya wanaotakiwa kuajiriwa kutoka kada mbalimbali ikiwa ni 1,596. Mapema mwezi Februari mwaka huu,, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda akiwa Dodoma alisema wamepokea maombi ya watu 135,027 katika nafasi za ajira zilizotangazwa…

Read More

TGNP, WADAU WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2025, WAZINDUA KITABU CHA SAFARI YA BEIJING

Mhe. Shamim Khan, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania (BAKWATA) na Mbunge Mstaafu, ambaye pia alikuwa Mbunge mwanamke wa Kwanza wa kuchaguliwa kwa kura katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1985, Jimbo la Morogoro Mjini) akionesha Kitabu cha Safari ya Beijing ‘The Beijing Journey’Mhe. Shamim Khan, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake…

Read More

Arusha Food Systems Youth Leaders waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Chakula Mashuleni

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Chakula Mashuleni Arusha Food Systems Youth Leaders   wametembelea shule ya sekondari Ungalimited na kutoa elimu kwa wanafunzi pamoja na walimu kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira kwa ajili ya kuwa na mifumo endelevu ya chakula ikiwemo kupanda miti ya matunda. Viongozi vijana wa mifumo ya chakula Arusha, wanafunzi pamoja na walimu…

Read More