
BALOZI NCHIMBI: MALEZI YA WALIMU NI MUHIMU KATIKA UJENZI WA TAIFA IMARA
-Atoa wito kwa viongozi wa dini kuiombea Tanzania dhidi ya vurugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema malezi na mafunzo wanayopata wanafunzi shuleni, hasa yanayosisitiza nidhamu na uwajibikaji, ni msingi muhimu katika kujenga taifa imara lenye uzalendo. Aidha, ametoa wito kwa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali kuendelea…