
Elon Musk aendelea kupigwa kwenye Tesla
Marekani. Marekani imeendelea kushuhudia wimbi la uharibifu wa mali za kampuni ya Tesla, ikiwa ni pamoja na magari na vituo vyake, sababu ikitajwa kuwa ni hasira dhidi ya Elon Musk ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa Tesla na mkuu wa Idara ya Ufanisi wa Serikali (Doge). Matukio haya ya hivi karibuni yamezusha taharuki miongoni mwa wamiliki…