
Lissu: No reforms, No election inapaswa kusikika zaidi Zanzibar
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema wanapozungumza msimamo wa chama wa ‘No reforms No Election’ wanategemea kauli hiyo iungwe mkono zaidi Zanzibar kwa sababu ndiyo waathirika wakubwa wa masuala ya uchaguzi. Lissu ametoa kauli hiyo leo Machi 21, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Kuu za…