
Waeleza sababu za kuporomoka kwa ushairi Tanzania
Dar es Salaam. Wakati mataifa yakiadhimisha Siku ya Ushairi Duniani, wadau wa Kiswahili na ushairi nchini wameeleza vikwazo vinavyokwamisha ushairi nchini ikiwa ni pamoja na elimu duni na kudharau fasihi ya Kiswahili. Siku ya Ushairi Duniani huadhimishwa Machi 21 kila mwaka na siku hii ilianzishwa mwaka 1999 na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,…