
Watanzania wakubali huduma za afya, wataka maboresho
Watanzania saba kati ya kumi, sawa na asilimia 68, wanaridhishwa na jitihada za Serikali katika utoaji wa huduma za afya hata hivyo wametaka nguvu kubwa iongezwe katika uboreshaji wa huduma hizo. Hiyo ni kulingana na utafiti wa Afrobarometer kuhusu Afya ya Jamii nchini Tanzania uliofanyika mwaka 2024 na matokeo yake kutolewa Machi mwaka huu. Akizungumza…