
Bosi wa usalama Israel afutwa kazi, Hamas watajwa
Tel Aviv. Baraza la Mawaziri la Israel limeidhinisha kufukuzwa kazi kwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (Shin Bet) huku maandamano yakiibuka upya kupinga uamuzi huo wa serikali. Ronen Bar ambaye ameiongoza Shin Bet tangu 2021, atatakiwa kukabidhi ofisi Aprili 10, 2025 ama kabla ikitegemea wakati gani mrithi wake atakapokuwa ameteuliwa. Al Jazeera imeripoti…